
Six versets du Nouveau Testament affirment que Jésus n'est pas Dieu, mais un messager de Dieu - Kingwana (Congo dialecte du swahili)
Description
Six versets du Nouveau Testament affirment que Jésus n'est pas Dieu, mais un messager de Dieu - Kingwana (Congo dialecte du swahili) - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002 ; Yoane 7:16 'Yesu akawajibu: “Mafundisho ninayotoa si yangu, lakini ni ya yule aliyenituma.' Matayo 26:39 'Kisha akajitenga mbali kidogo nao, akainama uso chini. Akaomba akisema: “Ee Baba yangu, kama ikiwezekana, ninakuomba uniondolee mbali kikombe hiki cha mateso. Lakini isikuwe kama vile mimi ninavyotaka, lakini kama vile wewe unavyotaka.”' Matayo 27:46 'Ilipokuwa karibu saa tisa, Yesu akalalamika akisema: “Eli, Eli, lama sabaktani,” maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, kwa nini umeniacha?”' Marko 10:18 'Yesu akamwuliza: “Sababu gani unaniita mwema? Hakuna mutu anayekuwa mwema, isipokuwa Mungu peke yake.' Marko 12:29 'Yesu akamujibu: “Amri ya kwanza katikati ya zote ni hii: ‘Sikia, wewe taifa la Waisraeli! Bwana Mungu wetu ndiye Bwana peke yake.' Marko 13:32 '“Lakini hakuna mutu anayejua siku ile au saa, hata wamalaika wanaokuwa mbinguni, hata Mwana; isipokuwa Baba peke yake tu.'